``PICHA ZA HARUSI YA SOLOLIST WA AMBASSADORS OF CHRIST-RWANDA ALIPOFUNGA NDOA HIVI KARIBUNI``

UMURISA NA MUMEWE
 Umurisa ndio jina lake mwanadada anayewasisimua wengi nchini Tanzania kwa uimbaji wake mzuri katika album ya KWETU PAZURI(IWACUEZA) akiimbisha wimbo huo, ni kwamba hivi karibuni alifunga pingu za maisha na mpenzi wake wa maisha Habimana huko nchini Rwanda, fuatilia picha za harusi hiyo pamoja na pre wedding mambo yalivyokuwa

WAOW HAKIKA WALIPENDEZA

FURAHA ILIYOJE JAMANI

 Kutokana na tukio hili la Harusi Yvonne hakuweza kuhudhuria mazoezi ya recording ya kwaya yake ya Ambassadors kwani wakati wenzie wanarekodi toleo la nne dvd yeye alikuwa busy na maandalizi ya harusi yake ndio maana kwa wale ambao wamepata nakala ya toleo jipya la Ambassadors wamekuwa na maswali mengi huyu dada yuko wapi au naye alifariki katika ile ajali ya basi iliyowapata wanakwaya hao, la hasha yeye ni mzima kabisa ingawa pia alikuwemo katika msafara uliopata ajali

DA! ALIPENDEZA HAKIKA ALIKUWA TAUSI

BAADA YA IBADA YA HARUSI UMURISA MUMEWE WAKIPIGA PICHA NA BAADHI YA WAIMBAJI WA AMBASSADORS


UMURISA NA MUMEWE WAKING'ARI NG'ARI SIKU YA PRE WEDDING YAO


NI VIAPO JAMANII

VIAPO TUMAMA NA NDUGU WA KARIBU WA UMURISA PICHA YA PAMOJA

AMBASSADORS  OF CHRIST WAKIIMBA KWENYE SEND OFF PARTY

NIMEKUBALI MWENYEWE NA NDIO NAACHIA WINO HAPAAMBASSADORS WAKIPIGA PICHA YA PAMOJA SIKU YA SEND OFF PARTY

OOH MY DAUGHTER CONGRATULATIONS  KELLY WITH UMURISA WANAITANA  MAMA NA MWANA, PIA KUNA HABARI KWAMBA KELLY NAYE KAVISHWA PETE YA UCHUMBA HIVI MAJUZI
MAMBO YA KEKI,
Ndoa ya YVONNE Ilifanyika 4 august 2011 huko Kigali jijini Rwanda,Gospel Kitaa inawatakia maisha mema yenye furaha MR & MRS HABIMANA!

Share on Google Plus

About Ambwene Mwamwaja

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.