CHAGUO LA GK: UNATOSHA - EUNICE NJERI

Habari ya Jumapili mdau wa Gospel Kitaa, tunatumai kwamba u buheri wa afya na kwamba ibada siku ya itakuwa na mguso kwako maradufu, kwa kuwa Yesu pekee anatosha na yuko kazini muda wote.
Eunice Njeri katika mojawapo ya huduma. ©fb/Eunice Njeri
Chaguo la GK kwa wiki hii linatoka Kenya, kwa Eunice Njeri, anasema Unatosha. Eunice ni meuimbaji ambaye nyimbo zake zinagusa wengi na wanapokuwa kwenye majaribu. Huku wengine wakikiri kwamba kama ni kumtukuza Mungu, basi nyimbo za Eunice zitakuwezesha. Karibu utue mzigo wa dhambi kwa Yesu, maana anatosha.


Share on Google Plus

About Gospel Kitaa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.