CASFETA UDSM INAKUKARIBISHA UPYA KWENYE USHIRIKA


Christ Abassadors Student Fellowship Tanzania, ama kwa ufupi CASFETA ni jina ambalo karibu kila mwanafunzi nchini analifahamu. Ushirika huu wa wanafunzi wa Kikristo una matawi maeneo mbalimbali, na hapa tumekuletea tawi la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, maarufu kama Mlimani.

Sehemu ya wanamapokezi kipindi kilichopita.
Kama unawaza mahala pa kufikia na kumuabudu Mungu kwa roho na kweli wakati vyuo vinafunguliwa, basi wenyeji wako wanakusubiri kwa shauku kubwa ili injili izidi kuenezwa. Maana kauli mbiu ni; "Going Beyond Borders and Reaching Others"

Karibu CASFETA UDSM tujumuike kwa pamoja kuujenga mwili wa Kristo ewe mwanachuo.


Ratiba ya wiki ilivyo


Share on Google Plus

About Gospel Kitaa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.