HABARI PICHA: TAZAMA PICHA 200+ KATIKA UZINDUZI WA DVD YA JOHN LISU

Baada ya kupata wakati mzuri wa kutazama picha za awali katika uzinduzi wa DVD ya Uko Hapa  ya kwakwe John Lisu, GK inakupa wakati mwingine wa kutazama picha 210 za matukio tofauti katika uzinduzi huo.

Pongezi nyingi ziende kwa muabudu John Lisu pamoja na timu yake na Utukufu unabaki kwa MUNGU aliye hai, kwa kujipanga vyema kuanzia sauti hadi muziki uliopigwa. Mbali na hao Son of Tanzania Ephraim Sekeleti nae alifanyika baraka kubwa mara baada ya  kuimba live nyimbo zake za kuabudu. Wengine walioimba live ni Solomon Mukubwa na Pastor Safari ambao wote hao walipigiwa muziki na wanamuziki wa John Lisu pamoja na waitikiaji. Pia John Lisu aliimba sambamba na mkewe Nelly.

 Ambwene Mwasongwe nae alifanyika baraka kwa nyimbo zake za Upendo wa kweli pamoja na Misuli ya imani. Huku pia George (Bonge wa Lulu) akiwa na Timu yake walipiga sebene live, bila kuwasahau Neema Gospel Choir ambao walipiga live pia na kulitumia nyema jukwaa.
John Lisu akiwa na mkewe Nelly pamoja na watoto wao mapacha watatu
Hebu sasa tazama matukio hayo katika picha.
Sehemu ya watu waliofika

GEORGE (BONGE WA LULU) AKIWA NA TIMU YAKE
Mke wa George akimpa kampani mume wake

George akicheza na MC Mwakipesile

NEEMA GOSPEL CHOIR
Waimbaji wengine wakifuatilia

Meza kuu ikiwa imesimama
Ni Mabinti kutoka kundi la The Joshua Generation
Emmanuel Kwayu akipata pozi la picha huku akiwafuatilia kwaya ya Neema Gospel

AMBWENE MWASONGWE

Meza kuu ikifuatilia kwa Makini
Solomon Mukubwa akashindwa kujizuia akapanda kushirikiana na MwasongweJOHN LISU AKIWA KWENYE MAANDALIZI 

John akiwa na Bale wakiakikisha magitaa yanaka sawa

Akiwa na mmoja wa watoto wake

Wanamuziki wakisubiri muda ufike kutoka kushoto Nuhu, Quilly pamoja na Steve

Masanja akihakikisha sauti imekaa sawa kabla ya kupanda

Nelly, ambaye ni mke wa Lisu, (wa pili kutoka kulia) akiwa na watoto wake sambamba na  waimbaji
 PASTOR PAUL SAFARI

Akimfuatilia kwa makini
Akaamua kwenda kumtunzaPastor Deo Lubala akashindwa kuvumilia akapanda kumpongeza


SOLOMON MUKUBWA
Mukubwa akielekea jukwaani
Team Lisu wakimpa Mukubwa kampani  ya kuitikia
Wapigaji nao wakienda sawa
Mfalme wa amani iliwakonga watu nyoyo
Emmanuel Mbasha akichukua matukio wakati mkubwa akiimba

Wanamuziki Japhet pamoja na John wakijadili jambo
Watu wakienda sawa na Mukubwa


Mukubwa na Mc Mwakipesile wakicheza
EPHRAIM SEKELETI (SON OF TANZANIA ) ALIABUDISHA ASWAA

Team Lisu ikimsindikiza Sekeleti
Wanamuziki wakimsindikiza Sekeleti


Meza kuu walijikuta wanaabudu

Ni kuabudu tu
Johnson Jimy akifanya yake akimsindikiza sekeletiSolomon Mukubwa akashindwa kuvumiliaHuyu nae alishindwa kujizuia

Kila mmoja na hisia zake
UZINDUZI UKAFANYIKA
Mgeni rasmi Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu, Mhe. Steven Wassira (wa katikati) akiwa tayari kuzindua
John Lisu akiingia

Akisalimiana na mgeni rasmi
Akisalimiana na Pastor Deo Lubala
Akisalimiana na Askofu Dr Bruno Mwakibolwa
Askofu Kameta akisoma risala huku mgeni rasmi akimsikiliza kwa makiniMtume Peter Nyaga akizungumza jambo
Mgeni rasmi akikata utepe kuzindua DvD

Mmeionaaa
Mgeni rasmi Mhe. Wassira akizungumza jambo kwa furaha


HATIMAYE MHUSIKA MKUU MUABUDU JOHN LISU AKAPANDA  KUMALIZA
Bale na Steve wakiwa tayari kuwasha moto
Nuhu akisubiri shughuli kuanza

Quilly akiweka mambo sawa
Music director Masanja akizungumza na Johnson Jimy
John Lisu akiwa tayari kuanzaSamweli Limbu (kushoto) sambamba na Bomby Johnson wakitumavocal kumsindikiza Lisu

Hizo ndio picha za matukio ambazo GK imekukusanyia katika uzinduzi wa DvD ya Uko Hapa ya kwakwe John Lisu. Endelea kuifuatilia GK kwa Habari na Matukio mbalimbali. kumbuka pia ku-like ukurasa wetu wa facebook unaoitwa Gospel Kitaa.


Share on Google Plus

About Gospel Kitaa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.