KUTOKA MAKANISANI: PICHA 95+ YESU OKOA MITAA ILIVYOKUWA HFCC


Baada ya kufahamu kilichojiri kwenye uzinduzi wa Yesu Okoa Mitaa jijini Arusha siku ya Jumamosi, tunakuletea picha kamili za tukio hilo kama ambavyo GK iliungana na wadau wengine katika kuhakikisha msingi wa injili unawekwa sawia.

Bofya hapa kusoma habari husika kilichojiri kuendana na picha hizi 99 za tukio hilo lililofanyika kwenye kanisa la Heritage of Faith lililopo Sakina, Silent.

'Good people at work, behind the scene'

Mmoja wa ma-MC na mratibu, John Pazia

"Nichane nisichane... basi baadae ntafanya hivyo." Elder Tolla'g

Shoka (la Yesu lakini)Mmojawapo wa waratibu na MC, Mchungaji Barnabas Philip

Moja kwa moja kutoka Kenya
Uncle ImaHata ma-MC walijaribu jaribu kuchana... Barnabas Philip na John PaziaPapa Francis (si yule Pontiff)

Galaxy kutoka Arusha University


Mcheza kwao hutunzwa; John wa HFCC


Remmy na George kutoka MoshiApostle Elia MtishibiEdson Zagalla (we muite "NHON")


Yaani raha kweli kwa Yesu.
"Akianza tu twende tukaruke naye", ni kama vile FDG wanakubaliana

Mtoto Miriam PaulWakaingia FDG Dancers "kwa wenye mazoezi tu, usijaribu popote!"
Emanuel ChrissTeam Yesu Okoa Mitaa
Novic kutoka Mbeya akaanzaAkaingia Mnene Makweta, Arusha nyumbaniIkawa zamu ya Vjay


Shetani unanisikia?


Apostle Bashando akachukua kipaza

Producer wa Mnene Makweta
Tukamaliza na mbeba maono, Rungu la YesuHitimisho kwa Maombi ya pamoja
Share on Google Plus

About Gospel Kitaa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.