MBINU ZA KIBIBLIA KUTAMBUA WAKUU WA GIZA JUMAPILI HII BCIC


Kwa mara nyingine tena, Jumapili hii tarehe 19 Oktoba 2014 kwenye ukumbi wa BCIC Mbezi beach, Askofu Gamanywa, atakuwepo ibadani na kuwasilisha ujumbe maalum; mbinu za kibiblia za kuwatambua wakuu wa giza wanaokandamiza watu, na roho za umaskini wa kipato na namna ya kupambana na kufunguliwa kwa kutumia silaha ya Upanga wa Roho.

Baada ya ujumbe huu, Askofu Gamanywa ataendesha Maombezi maalum ya kupokea nguvu za Roho Mtakatifu kwa watu wote wenye matatizo sugu yakiwemo magonjwa na umaskini wa kipato, usipange kukosa.

Share on Google Plus

About Gospel Kitaa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.