MWANZA WALIVYOSIFU NA KUABUDU KATIKA PICHA

Mchungaji Barnabas Phillip wa kanisa la Heritage of Faith (HFCC) Arusha katikati ya tabasamu la kumsifu Mungu
Tarehe 5 Oktoba ni siku ambayo ilikuwa na matamasha mbalimbali maeneo tofauti nchini, John Lisu alikuwa Diamond na Uko Hapa, Elias Kubeha naye alikuwepo na uzinduzi huko Kitunda, na pia kulikuwa na ratiba ya tamasha ya Worship in your Presence kwenye ukumbi wa kanisa la CCC, kabla halijasogezwa mbele hadi 25 Disemba. Wakati hayo ni kwa upande wa Dar es Salaam, huko Mwanza kulikuwa na 'Mwanza Tuabudu Tena', ambapo Mise Anael akiongozana na watumishi mbalimbali kutoka Arusha, na Dar es Salaam (akiwemo Miriam Lukindo wa Mauki) pamoja na wenyeji wao walienda kulisifu na kulitukuza jina la Yesu kwa njia ya uimbaji.

GK imefuatilia tamasha hili kwa karibu, na hapa inakuletea picha za kilichojiri kwenye ukumbi wa hoteli ya Golden Crest, kwa hisani ya waandaaji. Tuwe sote.NENO muhimu


Ni shangwe kwa kwenda mbele


Na sasa ikawa zamu ya Misericordias Anael
Ahsante Yesu sasa tumemaliza

Share on Google Plus

About Gospel Kitaa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.