NYARAKA MUHIMU KUHUSU MCHAKATO WA KATIBA

Mwenyekiti wa BUnge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta
Kati ya mambo ambayo mwananchi hatakiwi kupitwa nayo, ni kuhusu mchakato unaoendelea wa kutapa Katiba Mpya, nawe kama mfuatiliaji wa vyombo vya habari na mdau wa maendeleo la taifa lako, ni muhimu kufahamu angalau machache kuhusu mchakato huu, ikiwemo nyarka ambaco zimetolewa katika hatua mbalimbali za mchakato huo.

GK imekuletea nyaraka mbalimbali kuanzia zile zilizofanyiwa utafiti na kuchapwa na Tume ya Mabadiliko ya katiba, hadi Katiba za sasa za nchi wanachama zinazounda Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Yaani Tanganyika na Zanzibar.
Iwapo kuna nyaraka ya ziada ambayo ungependa kuipata, basi usisite kutufahamisha. lakini hapo chini pia tumekuwekea tovuti muhimu ambazo unaweza kutembelea na kupata taarifa muhimu na rasmi.

Tovuti muhimu;

Share on Google Plus

About Gospel Kitaa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.