PICHA 100 ZA A NEW DAY YA ANGEL BERNARD ILIVYOKUWA

Baada ya kupata wakati mzuri wa kutazama picha kumi za awali (Gonga hapa kuziona)  katika uzinduzi wa album yake Angel Bernard iitwayo A New Day. GK inakupa wakati mwingine utazame picha mia moja katika tukio hilo lililoenda sambamba na utambulisho na uuzwaji wa video ya wimbo wa Need You to Reign.

Pamoja na kwamba shughuli yenyewe ilichelewa kuanza kama ilivyotangazwa lakini haikuwazuia watu kusubiria hadi pale Angel alipopanda majira ya saa moja na aliwafuta machungu watu kwa kuimba kwa ustadi mkubwa huku akisaidiwa na The Voice of Triumph kutoka Arusha.

Ingawa hawakuimba waimbaji wote kama walivyotangazwa lakini pia waliopata nafasi ya kuimba walifanya vyema. Sasa tazama picha kamili jinsi ilivyokuwa.

SOUL MUSIC


VOICE OF TRIUMPH (kutoka Arusha)
 BOMBY JOHNSONAmani Kapama akiwa kwenye Drums

Mtayarishaji mziki  Sam Yona akipapasa kinanda

Fred Msungu akahamia kwenye bass guitar

WATU WALIFURAHI
Wanamziki wakiwa tayari kushuhudia kile kilichoandaliwa na Angel Bernard kutoka kushoto Dickson Gripa (King lee) Emmanuel Gripa (Emma Solo) Ezekiel Benjamin Mwamnyila, Esau pamoja na Johnson Mongi

Miriamu Lukindo wa Mauki akiingia eneo husika


Emmanuel Mabisa (Mzee wa Ku-force king) akiwa na Davina wote kutoka Glorious Worship Team (GWT)

Masanja Mkandamizaji naye aliserebuka kwa raha zake

Clarence akiwa kikazi zaidi

MC FRED MSUNGU  ALISIMAMIA VYEMA

 ANGEL BERNARD AKAPANDA HUKU AKISINDIKIZWA NA VOICE OF TRIUMPH (kutoka Arusha)AKAPATA NAFASI YA KUWATAMBULISHA WAZAZI WAKE
Huyu ndiye Mama
Huyu ndiye Baba


Na huyu ndiye Baba wa KirohoCD NA DVD VIKAZINDULIWA
Mchungaji Deo Lubala Akizindua
Rais wa chama cha muziki Ado November Akiahidi


Joyce Kiria wa WAnawake Live akiteta jambo na Angel mara baada ya kuahidi milioni moja

MAMBO YAKASONGAHizo picha mia moja za tukio hilo lililokuwa na mguso wa kipeke. Ulikuwepo? Siku iliendaje? Na kama hukuwepo, ulichokosa ni nini? 

Share on Google Plus

About Gospel Kitaa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.