PICHA 50+ AMANI NA MSHIKAMANO ILIVYOHIMIZWA NA VIONGOZI WA DINI

Jumapili ya October 12 kulifanyika mchezo wa kirafiki wanye lengo  kudumisha amani na mshikamano pamoja na upendo kwa viongozi wa dini mbili nchini; wakristo pamoja na waislamu. Mchezo huo ulipigwa katika dimba la uwanja wa taifa jijini Dar es salaam.
 
Katika mchezo huo kulikuwa na timu mbili zenye mchanganyiko wa viongizi wa dini ya kiislamu na kikristo, timu moja kati ya hizo ikipewa jina la Amani na nyingine ikipewa jina la Mshikamano.

Katika mchezo huo timu Amani ikafanikiwa kuchomoka na ushindi wa bao moja kwa sifuri. Picha zote kwa hisani ya Blog ya Jamii na Michezo


Makocha wa timu zote mbiliAskofu Sylvester Gamanywa ( anayecheka katikati)
Mkuu mkoa wa Dar es salaam alikuwa kamisaa wa mchezoRefa wa mchezo kamanda Kova akiamuisha ipigwe penalti

Penalti ikaota mabawa
Mgeni rasmi Mizengo Pinda Akijadili jambo na Askofu Sylvester GamanywaShare on Google Plus

About Gospel Kitaa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.