PICHA ZA AWALI ZA UKO HAPA YA JOHN LISU ILIVYOFANA

Kati ya mambo ambayo utakuwa unakiri moja kwa moja, ni kwamba John Lisu ni nguli wa muziki wa injili nchini. Kwa takribani zaidi ya dakika 45 Lisu alitumia vema madhabahu kwa kupangilia sauti na vyombo kiasi cha kufanya Mungu aonekane kwa upekee kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.
John Lisu akiwa na mkewe Nelly
GK imekuwepo mwanzo mwisho, na hapa inakuletea picha 20 za awali kukujuza kilichojiri, ambapo mgeni rasmi alikuwa Mbunge wa Jimbo la Bunda, Mhe. Steven Masatu Wassira, ambay pia alitumia fursa hiyo kuzungumzia kuhusu mazuri yaliyomo kwenye Katiba inayopendekezwa.Ambwene Mwasongwe akisindikizwa na Solomon Mkubwa

Sehemu ya umati wa watu
Son of Tanzania, Ephraim Sekeleti

Solomon Mukubwa
Pastor Paul Safari

George (Bonge wa lulu)  akiliongoza kundi lake jipya
Neema Gospel Choir
Picha kamili za uzinduzi huu zinakujia, endelea kutembelea Gospel Kitaa.

Share on Google Plus

About Gospel Kitaa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.