SHANGWE ZA GK NI JAMES TEMU NA SIA KIMARO WAMEPENDEZA


Jumamosi iliyopita ya tarehe 27 September ilikuwa ya vifijo na nderemo pale mtangazaji wa kipindi cha Chomoza kinachorushwa na runinga ya Clouds Tv na mmiliki wa blog ya unclejamestemu , kijana James Temu alifunga pingu za maisha na mwanadada Sia Kimaro katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri usharika wa Kijitonyama jijini Dar es salaam na kufuatiwa na sherehe kubwa ya kuwapongeza iliyofanyika katika ukumbi wa Lulu uliopo Sinza Mapambano jijini humo..

GK inawatakia maharusi hawa maisha mema ya amani na yenye baraka kutoka kwa Mungu wetu.
Share on Google Plus

About Ambwene Mwamwaja

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.