SOMO: MAISHA YAKO YAKILETA SULUHU KWA WENGINE UTAKUWA MFALMEHauwezi Kujiita Mfalme Ilhali 'MAISHA YAKO' Hayavutii Watu Wengine Kukufuata, Kuwa Na Wewe Au Kutaka Kuwa Kama Wewe... Kwa Lugha Nyepesi, "HAKUNA MFALME ASIYEKUWA NA WAFUASI; NA WAFUASI HUJA KWA KUONA KITU CHA KIPEKEE AU TOFAUTI NDANI YAKO"

Wale Watu Waliomjia Mfalme Yesu Walimwambia, "BWANA NITAKUFUATA KOTE UENDAKO"

Kama Haujafikia Hatua Ya Watu Kuona Vipawa, Karama Na Vipaji Mungu Alivyoweka Ndani Yako Kama Mfalme Uliyeko Duniani Kwa Niaba Yake; BADO HUJAWA MFALME!

Tumia Muda Wako Kujipambanua Na Kujielewa Wapi Ulipo Na UDHAIFU Ili Utafute Namna Ya Kuukwepa Au Kuushinda.
LAKINI
Tumia Muda Wako Mwingi Kuendeleza Vipawa, Karama Na Vipaji Mungu Alivyoweka Ndani Yako, Ili Maisha Yako Yalete Thamani Kwa Kila Mtu Ambaye Mungu Atamleta MAISHANI KWAKO~

"Yeye Aliye Nacho Ataongezewa, Na Yule Asiyekuwa Nacho Hata Hicho Kidogo Alichonacho Atanyanganywa"

Tumia Akili, Muda, Vipawa Na Karama Zote Alizokupa Mungu Kugusa Maisha Ya Wengine.

Wafalme Wote Wanaheshimika Na Kupendwa Kwa Vile Wanavyojibidiisha KUYAPA THAMANI MAISHA YA WENGINE~

Mfalme,
Mwl D.C.K
Share on Google Plus

About Ambwene Mwamwaja

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.