TAZAMA MAZOEZI YA JOHN LISU KILA KITU KIPO TAYARI, KESHO DIAMOND

kama ukishindwa kufika katika uzinduzi wa dvd ya Uko hapa ya John Lisu basi utakuwa umekosa jambo la muhimu sana. Unachoweza kusema kwa swala la mziki na vocal limekamilika kwa asilimia 99 na hiyo moja inasubiriwa kumaliziwa siku yenyewe ya tukio ndani ya ukumbi wa Diamond Jubilee.

GK ilipata wakati mzuri wa kuhudhuria mazoezi ya John Lisu akiwa na timu yake katika kanisa la Dar es Salaam Pentekoste (DPC) ambapo walionekana wakiwa kamili kumtukuza Mungu pamoja na wale wote watakao fika Jumapili hii ya tarehe 5 pale Diamond Jubilee.

Tazama picha ambazo zikiwaonyesha wakiwa katika mazoezi. huku John Lisu akiwa ameambatana na watoto wake katika mazoezi hayo.Add caption

Tukutane siku ya Jumapili ya Kesho pale Diamond Jubilee kuizindua kwa pamoja  DVD ya Uko Hapa ya kwake John Lisu ambayo ilirekodiwa tarehe 6 mwezi wa 10 na inazinduliwa tarehe 5 mwezi wa 10 kasoro siku moja kutimiza mwaka moja.   

Share on Google Plus

About Gospel Kitaa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.