IMPARTATION NIGHT HEADS FOR UNIVERSITY OF DODOMA TONIGHT

After winding up in Arusha at Arusha Technical College, Campus Tour goes on to impart more youths, and this time around it is at the University of Dodoma's Chimwaga Hall from  2000 hours till dawn, on Friday the 7th November 2014.

The life changing sessions organized by New Life Ministries, will witness among other speakers, Sediki Hezron from Dodoma and GK Contributor, Fred Msungu from Dar es Salaam. Whereas the others are from Arusha. Should you have a doubt how these nights of impartatation are transforming the people to being better in ther daily chores, then please plan to attend if you are in Dodoma, and become an ambassador.

Baada ya kumaliza jijini Arusha, sasa ile "Campus Tour" iliyoandaliwa na New Life Ministries, inaendelea Ijumaa hii, ambapo wakazi wa Dodoma watapata fursa ya kuguswa kwa aina ya kipekee na huduma hii inayobadili maisha ya vijana - kwenye Chuo Kikuu cha Dodoma kuanzia saa mbili usiku hadi Jumamosi asubuhi.

Wakiwa Arusha, Chuo cha Ufundi cha Arusha ndio kambi iliwekwa wiki iliyopita, na baada ya ratiba kukamilika, hatimaye sasa ni Dodoma, ambapo wazungumzaji kama Fred Msungu kutoka Dar es Salaam na Sadiki Hezron wa Dodoma watakuwepo sanjarai na wazungumzaji wengine kutoka Arusha.

Share on Google Plus

About Gospel Kitaa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.