LOWASSA AZINDUA RASMI HELIKOPTA YA KANISA LA GWAJIMA

Waziri mkuu aliyejiuzulu ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Monduli mheshimiwa Edward Lowassa hapo jana aliongoza maelfu wa waumini wa kanisa la Ufufuo na Uzima nchini katika viwanja vya Tanganyika Packers Kawe jijini Dar es salaam kuzindua rasmi helkopta iliyonunuliwa na kanisa hilo lililochini ya mwanzilishi wake mchungaji Josephat Gwajima tayari kwa kazi ya injili nchini.

Uzinduzi huo pia ulihudhuriwa na viongozi wa makanisa mengine ya Kiroho kama mchungaji Deo Lubala wa Word Alive Sinza, Vernon Fernandez wa Agape pamoja na waimbaji wa muziki wa injili wakiongozwa na John Lisu, Bonny Mwaitege, Flora Mbasha pamoja na waimbaji wengine wenyeji.

Helikopta ikionekana anga la Tanganyika Packers.
Ikiwa inatua viwanjani hapo.
Ufufuo na Uzima.
Ikiwa imetua viwanjani hapo 


Mheshimiwa Edward Lowasa akiizindua rasmi pamoja na watumishi wengine wa Mungu.
Mchungaji Gwajima pamoja na Lowasa.
Sifa na kuabudu zikaendelea kama watumishi wanavyoonekana
Mchungaji Gwajima akizungumza.
Meza kuu
Meza kuu

Mchungaji Deo Lubala
Mchungaji Fernandez


Flora Mbasha akiimba


Bonny Mwaitege
John Lisu akiita uwepo wa Aliye Juu ©Ufufuo crew na John Pazia

Share on Google Plus

About Ambwene Mwamwaja

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.