MWANA WA KIGOMA, KASULU, NAFASI YA KAZI KWAKO

Kwa mkazi wa Mkoa wa Kigoma, hasahasa Wilaya ya Kasulu, basi unayo fursa ya ajira kama muandaaji na msimamizi wa studio kwenye uhandisi (sound engineer) kwenye studio ambazo zinamilikiwa na Kanisa la Anglikan Dayosisi ya Tanganyika Magharibi (Western Tanganyika).

Pamoja na uzoefu wa mwaka mmoja, tangazo linaonyesha anahitajika mtu mwenye elimu ya kuanzia kidato cha nne na kuendelea huku masuala ya teknolojia ya habari (IT) yakipewa kipaumbele zaidi. Kama uko maeneo hayo badi unaweza kuomba nafasi hii kwa utaratibu ambao tangazo linaonyesha  hapo chini.


Kila la heri.

Share on Google Plus

About Gospel Kitaa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.