MWANZA TUMEWAFIKIA, TUKUTANE GOLD CREST KWA JOHN LISU

Taswira kutoka juu
Kama ambavyo GK iliwaahidi, tayari tumeshatua jijini mwanza ili kuwahabarisha na kile ambacho kitajiri kwenye ziara ya Uko Hapa ya kwake John Lisu, ambapo tukio litaanza saa nane mchana kwenye Hoteli ya Gold Crest.
Mara baada ya kutua GK ilifanya jitihada za kuwapata John Lisu na timu yake na kisha ufika ukumbini sehemu ya tukio na kukuta kila kitu kikiwa sawia. Na hadi picha hizi za utangulizi zinawekwa hewani, tayari watu walisahaanza kuingia kwenye ukumbi huo tayari kusifu jina la BWANA Yesu atendaye makuu siku zote.Endelea kuwa nasi kwa taarifa zaidi. Kwa upande mwingine GK imepiga pia kambi jijini Arusha kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid, kwenye tamasha la Upendo kwa Mama. Endelea kutembelea, tutakujuza kila kitu.


Share on Google Plus

About Gospel Kitaa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.