PICHA 50+ ZA AWALI UPENDO KWA MAMA ILIVYOFANA ARUSHA

Baraka Massa
Wakati wakazi wa Mwanza walifurahi kwa kusifu na kuabudu wakiongozwa na John Lisu, jijini Arusha tamasha la Upendo kwa Mama lilifanyika kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid, ambapo kwa waliofika, hakika wameanza kuona tofauti ya maisha yao na kile wanachotakiwa kufanya ili mambo yao yanyooke katika Yesu.

MC wa shughuli, Elisha Mashauri
GK inakueletea kwa muhtasari yaliyojiri kuanzia maandalizi yalivyokuwa Redioni, hadi mwanamama Upendo Nkone alipowasili na kupokelewa kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro, na kisha siku yenyewe ya Jumapili, uwanja ukifurika maelfu ya wakazi wa Jiji la Arusha na vitongoji vyake, kwenye tamasha hili ambalo limeandaliwa na kampuni ya Mkundi Promotions yenye makao yake makuu jijini Arusha.

Upendo Nkone mara baada ya kutua uwanja wa kimataifa wa ndege wa Kilimanjaro.


Esther Bukuku akiwa studio za Redio habari Maalum kuhamasisha wakazi wa Arusha kufika siku ya tukio.Shuka chini, chini tena...
FDG Dncers
Kinamama wa baadae sana
Kudeka muhimu, Rebecca Magaba na mumewe.

Sehemu ya wachungaji waliofika siku hiyoGodwin Shega (Usimdharau mtu)


Babu

Boniphace RichardNa wewe unaweza! Ni kama vile anasema Engineer Carlos MkundiHapa sitoki hadi niwe tofauti
Badilika ka Jina la Yesu, Upendo Nkone akiombea mmoja baada ya mwingine
Control Room, Vijana wa Habari Maalum na bwana mitambo wakihakikisha kila kitu kinakwenda sawia.


Matumaini akaleta tumaini jipya
CD zinapatikana hapa
Rose Mollel

Sio ku-support tu - na sie tumo kwa uimbaji
Floor Manager; Pokea Kamata (mwenye koti) akiratibu jambo
Dakeni zawadi hiyo; Mess Jacob akitunuku waliofikaEnendeni na amani ya BWANA
Aminaaaa, lini tena? Ni kama vile wameshaanza kulimiss tamasha tayari, hata kabla hawajafika getini


Share on Google Plus

About Gospel Kitaa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.