SOMO: NENO LA MUNGU PEKEE NDIO JIBU LA MATATIZO YAKO

King Sam

NDUGU YANGU KITU KITACHO KUPONYA KATIKA ULIMWENGU HUU NI NENO LA MUNGU TU KAMA UTALISHIKA.
Hata Kama kuzimu kumeinuka Neno la Mungu ndilo litakalo simama,Isaya Isaiah 40:6-9
Sikiliza, ni sauti ya mtu asemaye, Lia! Nikasema, Nilie nini? Wote wenye mwili ni majani, Na wema wake wote ni kama ua la kondeni;Majani yakauka, ua lanyauka; Kwa sababu pumzi ya BWANA yapita juu yake. Yakini watu hawa ni majani.

 Majani yakauka, ua lanyauka; Bali NENO LA MUNGU wetu litasimama milele.We...we uuhubiriye Sayuni habari njema, Panda juu ya mlima mrefu; Wewe uuhubiriye Yerusalemu habari njema, Paza sauti kwa nguvu; Paza sauti yako, usiogope; Iambie miji ya Yuda, Tazameni, Mungu wenu.
Yobu Job 14:1-2
Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke Siku zake za kuishi si nyingi, naye hujaa taabu.

Yeye huchanua kama vile ua, kisha hukatwa; Hukimbia kama kivuli, wala hakai kamwe.

 Zaburi Psalms 103:15-18 Mwanadamu siku zake zi kama majani; Kama ua la kondeni ndivyo asitawivyo.Maana upepo hupita juu yake, kumbe haliko! Na mahali pake hapatalijua tena.Bali fadhili za BWANA zina wamchao Tangu milele hata milele, Na haki yake ina wana wa wana;Maana, wale walishikao agano lake, Na kuyakumbuka maagizo yake ili wayafanye.
Geukia Mungu utafute Neno lake usipogeka na kulitafu uharibifu ni mwingi,NENO LA MUNGU NDIYO UPONYAJI WETU NA USHINDI KATIKA JINA LA YESU, ubarikiwe Na Yesu.
Share on Google Plus

About Ambwene Mwamwaja

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.