UPENDO KWA MAMA TAREHE 2 NOVEMBA ARUSHA

Kila mtu alizaliwa na mama, tukutane Jumapili kuanzia saa nne asubuhi hadi saa kumi na mbili jioni kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid. Wanaotarajiwa kuhudumu ni pamoja na Upendo Nkone, Sarah K, Ambwene Mwasongwe na wengineo wengi.

Tujumuike pamoja uwanjani, GK itakuwepo.
Share on Google Plus

About Gospel Kitaa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.