WOMEN SPECIAL DAY IN READING

Kwa wakina mama na wakina dada walioko Reading na vitongoji vyake nchini UIngereza, tangazo hili linawahusu, kama ambavyo limeletwa kwenu na Women of Purpose

WOMEN SPECIAL DAY IN READING. WOMEN OF PURPOSE WANAPENDA KUWAALIKA WAMAMA/WADADA WOTE KUJA KUTAFAKARI, KUJENGANA NA KUTIANA MOYO JUMAMOSI YA TAREHE 22 NOVEMBA 2014 KUANZIA SAA NNE ASUBUHI HADI SAA 12 JIONI.

MGENI RASMI ATAKUWA MAMA BALOZI JOYCE KALLAGHE MKE WA BALOZI WA TANZANIA HAPA UINGEREZA.

NJOO ADDRESS NI ST. ANDREWS UNITED REFORMED CHURCH RG1 5BD BY THE ROYAL BERKS HOSPITAL FROM RAIL STATION BUS NO. 9 NJOO MKARIBISHE NA MWINGINE

Share on Google Plus

About Gospel Kitaa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.