ANGALIA PICHA ZA USIKU WA NYIMBO ZA KRISMASI JIJINI ARUSHA

Jumapili iliyoisha kulifanyika usiku maalumu wa nyimbo za Krismasi (Christmas Carols) zilizofanyika jumapili katika kanisa la Evangelistic Assemblies of God (E.A.G.T) Elerai Sakina jijini Arusha, ambapo watu na waimbaji mbalimbali walihudhuria katika ibada hiyo ya kupendeza.Angalia baadhi ya picha kutoka katika ibada hiyo


Share on Google Plus

About Ambwene Mwamwaja

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.