CHAGUO LA GK: TAZAMA NYIMBO MPYA NANE KUTOKA KWA FLORA NA EMMANUEL MBASHAKama ilivyoada ya Jumapili tovuti yako maridhawa katika kumuinua Mungu wetu, huwa tunakupa chaguo letu maalumu kwaajili yako katika kumaliza wiki na tayari kuanza wiki nyingine ukiwa na nguvu mpya.

Katika chaguo kwa siku ya leo tunakupa wasaa wakutazama video ya nyimbo mpya nane kutoka kwake Flora Mbasha na mumewe Emmanuel Mbasha ambao kwa pamoja waliandaa video ya nyimbo ambazo unakwenda kutazama ukiwemo 'Nipe Nguvu ya kushinda' na nyinginezo. Karibu sana na tunakutakia jumapili njema.
Share on Google Plus

About Ambwene Mwamwaja

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.