CHAGUO LA GK: UNAWEZA KUTOKA LIVING WATER CENTER


Twatumai u-mzima mdau wa GK, kwenye chaguo letu wiki hii tuko na Living Water kwa wimbo wao, Unaweza. Kuelekea kumaliza mwaka, hata sasa Mungu anaweza na sifa ziende kwake milele. Wimbo huu uliimbwa live Word Alive Center Sinza tarehe kwenye mkesha tarehe 27 Disemba 2013. Kama ambavyo Mungu alianza nawe pamoja, bado atakuwezesha kumaliza 2014 na kuianza 2015 pia.Share on Google Plus

About Gospel Kitaa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.