KWAYA KUU MABIBO MORAVIAN YAZINDUA DVD YAKE

Siku ya jana kwaya kuu ya usharika wa Mabibo Moravian jijini Dar es salaam, walifanya uzinduzi wa video yao inayoitwa 'Ee Bwana Wangu' uzinduzi ambao ulifanyika kanisani kwao Mabibo katika ibada zote na kufuatiwa na tamasha lililohudhuriwa na kwaya mbalimbali alikwa pamoja na waumini kutoka ndani na nje ya kanisa la Moravian.
Picha za juu ni kwaya kuu Mabibo Moravian wakiwa tayari kuingia kanisani kwa uzinduzi. picha za chini wakiimba wakati wa ibada kabla ya uzinduzi.©A.Mwalupani

Share on Google Plus

About Ambwene Mwamwaja

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.