PICHA 200+ JOHN LISU ALIVYOABUDISHA JIJI LA MBEYA KWA SOUND OF WORSHIP

Baada ya kutazama picha za awali kwa kile kilichotokea Jijini Mbeya katika Uko Hapa Tour The Sound of Worship ambayo iliandaliwa nae John Lisu akiwa na timu yake katika ukumbi wa St Mary's Forest Mpya na ikiwa ni baada ya miaka 15 kupita tangu ahudumu katika jiji hilo watu wengi walipata nafasi ya kujumuika nae kumsifu Mungu.

Sasa GK inakupa wakati mzuri wa kuangalia picha zaidi jinsi mambo yalivyokuwa

 TUNTUFYE Ndiye alifungua pazia la uimbaji

PETER MBUBA naye akafuatia
 

MWANJISI akapanda


IMMA MOPAO akakamata Solo Gitaa na kumtukuza MUNGU


Baada ya hapo kijana Joel akapanda


AMBWENE MWASONGWE NAYE AKAHUSIKA


PRAISE TEAM KUTOKA T.A.G FOREST YA ZAMANI


DR CHACHA AKATOA NENO

JOHN LISU NA TIMU NZIMA WAKACHUKUA NAFASI

AKAMKARIBISHA MCH: TAMBIKENI WA T.A.G FOREST YA KWANZA  NA MKEWE KUSALIMIA ( Mwenyeji wa Lisu Mbeya)

 BAADA YA HAPO SHUGHULI IKAANZA
Dr Chacha akifanya maombi kwa watu wenye mahitaji mbalimbali
John Lisu akifanya maombi kwa waimbaji wa Mbeya waliopita mbele kuombewa
Mchungaji Tambikeni akiendeleza maombi
Waandishi nao walitimiza wajibu wao
Lisu akimfanyia mtoto maombi. Mtoto huyu aligoma kuondoka hadi aombewe
Picha ya kumbukumbu ikachukuliwa na msomaji wa GK
Kutoka kulia ni Mtayarishaji wa mziki Masanja, Joel pamoja na Kiongozi wa Praise Team T.A.G Forest ya kwanza wakipata kumbukumbu

BAADA YA HAPO WATU WAKAENDA KUJENGA MWILIHizo ndio picha za tukio zima la Uko Hapa Tour The Sound of Worship jijini Mbeya. Endelea kufuatilia GK upate kujua zaidi matukio mbalimbali katika kipindi hiki cha sikukuu.


Share on Google Plus

About Gospel Kitaa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.