UJUMBE: ROHO YA MZINGIRO

King Sam.
Shalom watu wa Mungu
Jinsi ya kuvunja Roho ya mzingiro,
Kitu kinachotesa wanadamu kwa sasa ni Roho ya mzingiro ni Roho yenye uwerevu sana,mzingiro ni nini,ni hali ya kuzingirwa Na maadui au wale wakutesao,
Mzingiro unafanya kazi katika mgawanyiko wa Saba Saba,
Siku Saba
Wiki Saba
Miezi Saba Na miaka Saba,

Unapozingirwa uwezi kuona ila utakuja kujua pale ambapo umeanza kazi, Mtu anakujalia kushutuka pale ambapo amekwisha kuzingirwa,Roho ya mzingiro ni Roho unaitaji kuijua kwa sababu usipojua hata Kama ukiombewa uwezi toka huko,mpaka umeigundua,
Tazama Ayubu alivyozingirwa Na kazi yake,Roho ya mzingiro ni kuketa matatizo yasiyo kwisha,ujawai kusikia Mtu akisema ikifika mwezi huu lazima nipatwe Na ugonjwa huu au Mtu afe,
Kila Saba inapotamkwa ni utimikizo wa Mungu,nakila Saba inapotamkwa ni utimikizo wa shetani kutenda mabaya, haijalishi wewe ni Mchungaji kwenye Roho ya mzingiro ni kuijua.
Tutaendelea na kuangalia katika biblia inasema kwa habari ya mzingiro ubarikiwe Na Bwana Yesu
Endelea kufuatilia yawezekana uko kwenye Roho ya mzingiro.

Kama unataka niwasiliane na wewe kwenye simu namba yangu hii hapa +447903180067
Namba ya whatsapp hii +447977225185
Ubarikiwe na Yesu.
Share on Google Plus

About Ambwene Mwamwaja

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.