CHAGUO LA GK KUTOKA KWA BOAZ DUNCAN, UMEINULIWA

Boaz Duncan
Tunatumai u mzima mdau wa Gospel Kitaa kwa Jumapili ya mwisho ya mwezi wa kwanza. Chaguo la GK wiki hii linakujia kutoka kwa muimbaji kutoka jijini Mwanza, Boaz Duncan. Na hapa tunakuletea nyimbo zake mbili kwa mpigo wakati akiwa jijini Arusha kwenye mkesha wa vijana ulioandaliwa na Tanzania Fellowship of Evangelical Students (TAFES) mwishoni mwa mwaka jana, 2014.Uwe na Jumapili njema unapotafakari ukuu wa Mungu kupitia nyimbo hizi. Barikiwa na BWANA Yesu.
Share on Google Plus

About Gospel Kitaa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.