HABARI PICHA: MSIMU WA PILI UPENDO KWA MAMA WAZINDULIWA RASMI DSM

Nani kama Mama?
Msimu wa pili wa matamasha ya Upendo kwa Mama hatimaye umezinduliwa rasmi kwenye Kanisa la Kiinjili la Kilutheri la Tanzania, Mabibo External tarehe mosi Januari 2015, ambapo uzinduzi wa matamasha hayo yanayotaraji kufanyika kwenye mikoa mingine 11 nchini uliambatana na utambulisho wa album ya muimbaji mbeba maono wa taasisi ya Upendo kwa Mama Foundation, Engineer Carlos Mkundi.

GK ambayo ilikuwa kwenye tukio hilo, ilishuhudia waimbaji mbalimbali kutoka jijini Dar es Salaam na mikoani, wakiabudisha pamoja na kusifu na wakazi wa jiji la Dar waliojitokeza siku hiyo.

Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba pamoja na Mbunge Martha Mlata ambaye pia ni muimbaji, walichangia kwa pamoja kiasi cha shilingi milioni 10, katika harakati za kuendesha ukombozi kwa wakina mama popote walipo nchini.

Amani Choir


Tumaini NjoleMess Jacob alivyochangamsha waliopasha moto viti


Rose Mollel kutoka Arusha


Ninafuatilia

Habari hii ni Maalum

Lazima nioneLwiti ndani ya nyumba


Hellen Kijazi

Wataalamu wa picha
Faraja Ntaboba

Joyce Ombeni

Edson Zako Mwasabwite


Sticker zikagaiwa
Lilian Kimola


Saa ya kurudi makwetuShare on Google Plus

About Gospel Kitaa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.