MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA KUWEKWA KAZINI KWA ASKOFU MKUU MPYA DODOMA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia kwenye Sherehe ya Kumsimika Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dodoma Beatus Kinyaiya iliyofanyika jana Januari 18, 2015 katika Kanisa la Mt. Paulo wa Msalaba Dodoma

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimpongeza Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dodoma Beatus Kinyaiya baada ya kusimikwa rasmi kwenye Sherehe iliyofanika jana Januari 18, 2015 katika Kanisa la Mt. Paulo wa Msalaba Dodoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, katikati akiwa katika picha ya pamoja na Maaskofu mbalimbali waliohudhuria sherehe ya kusimikwa Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dodoma Beatus Kinyaiya kwenye Sherehe iliyofanyika jana Januari 18, 2015 katika Kanisa la Mt. Paulo wa Msalaba Dodoma.  Kutoka Issamichuzi blog(Picha na OMR)


Share on Google Plus

About Ambwene Mwamwaja

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.