SHANGWE ZA GK: BARAKA ZA NDOA ZAMWAGIKA KWAYA YA KWETU PAZURI

Mwezi December 2014 utakuwa wa kukumbukwa kwa kwaya maarufu Afrika mashariki na kati ya Ambassadors of Christ kutoka kanisa la Sabato Remera Kigali nchini Rwanda, baada ya kushuhudia waimbaji wake wakongwe wakifunga pingu za maisha kila mtu kwa wakati wake.

Aliyefungua dimba kwa mwezi Disemba 7 ni mwimbishaji wa nyimbo nyingi za kwaya hiyo kijana Jimmy Bizimungu aliyefunga ndoa na mpenziwe na aliyefunga mwaka ni mwanadada Pepe Patience aliyefunga ndoa na mpenzi wake aitwaye Webb (mzungu). Harusi zote zilifanyika jijini Kigali nchini Rwanda huku kwaya ya Kwetu pazuri ikishiriki bega kwa bega na maharusi hao.Chini ni picha ndoa ya Jimmy
Share on Google Plus

About Ambwene Mwamwaja

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.