TUNACHAGUA KUKATAA SILAHA ZOZOTE DHIDI YETU


Uhali gani mdau wa GK, karibu kwenye Chaguo letu ambapo kwa wiki hii tunakuletea mwanamama Sarah K na wimbo wake wa Hakuna Silaha.

Mitego mingi wamekutegea, wamekuvizia sana, wanakutazama uanguke kwa yale waliyokutegeshea, lakini hapa tunakumbushwa kwamba Hakuna silaha yoyote ambayo imewekwa kinyume chetu itafaulu. Mwaka 2015 na uwe hivyo kwako kwa kila utakachofanya na kutenda.

Asiwepo mtu wa kuzuia kile ambacho Mungu ameweka ndani yako kwa Jina la Yesu.


Uwe na Jumapili njema.
Share on Google Plus

About Gospel Kitaa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.