WAIMBAJI AFLEWO 2015 KUTAFUTWA NDANI YA WORD ALIVE JUMAMOSI TAR 10 NA 17

Hatimaye fursa zaidi zinajitokeza kwa wale wote wanaopenda kuimba na wenye vipaji vya muziki ambapo tamasha la kusifu na kuabudu barani Afrika, maarufu kwa jina la Africa Let's Worship, ambapo litakusanya kila mwenye kuamini kwamba ana uwezo wa kuimba, ili kujumuishwa kwenye kundi la waimbaji pamoja na wapiga vyombo.

Una kipaji? Basi jongea kwenye kanisa la Word Alive liliopo Sinza siku ya Jumamosi tarehe 10 Januari 2015 kuanzia saa tatu asubuhi hadi saa nane mchana. Kama hutofanikiwa kwa siku hii, basi tukio hili litafanyika tena Jumamosi ya tarehe 17 Januari 2015.

Kila la Heri!Share on Google Plus

About Gospel Kitaa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.