ANGALIA WIMBO MMOJA RASMI ULIOACHIWA NA JOYOUS CELEBRATION KUTOKA KATIKA DVD YAO MPYA YA 19


Haya hii ni malumu kwa wewe shabiki na mpenzi wa kundi la Joyous Celebration la nchini Afrika ya kusini, hapo jana kundi hilo limeamua kuachia wimbo mmoja mpya kutoka katika DVD yao ya 19 wanayotarajia kuizindua wakati wa sikukuu ya Pasaka mapema mwanzoni mwa mwezi April. Wimbo ulioachiwa na kundi hilo unafahamika kama Kuregerera in advance unaohusu suala la msamaha ulioimbwa na mwimbaji Zamar Takesure kutoka nchini Zimbabwe. Kwa mara ya kwanza Joyous wameamua kutafsiri nyimbo kwakuweka kila neno linaloimbwa na maana yake. Huu ni wimbo wa kwanza rasmi kutambulishwa yawezekana kundi hilo likaachia nyimbo nyingine kabla ya uzinduzi rasmi.

Share on Google Plus

About Ambwene Mwamwaja

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.