CHAGUO LA GK: OKOKA NDUGU AIC SHINYANGA CHOIROkoka ndugu ndio chaguo la GK kwako hii leo, ni wimbo uliojaa ujumbe mzito juu ya mahusiano yetu na Mwokozi wa ulimwengu. Kuna vitu vingi nivipendavyo kupitia album hii ya "Mbeleko" wana wa AIC Shinyanga, kubwa zaidi ni kwamba sauti zao zinasikika zimeshiba kama kwaya na si kikundi, muziki na ujumbe uliomo kwenye nyimbo takribani zote. Hebu pata nafasi ya kutazama na kusikiliza ujumbe huu muhimu mdau wetu wa GK natumaini utabarikiwa sana kupitia wana wa Ng'ang'ania. Tunakutakia jumapili njema


Share on Google Plus

About Ambwene Mwamwaja

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.