HABARI NJEMA KWA WANAOFUATILIA MASOMO YA MWALIMU HUYU NDANI YA GK

DODOMA

Nitakuwa Dodoma kila wiki, siku za Jumanne hadi Alhamisi. 

Nitakuwa na vipindi vya mafundisho kupitia Dodoma FM kila Jumanne na Jumatano, kuanzia kesho,muda ni saa 3:00 usiku hadi saa 4:00 usiku, nitakuwa LIVE hewani nikifundisha Neno la Mungu kwa hekima, maarifa, ufunuo na upako mkubwa!

Asante kwa wote MLIOJITOA kuwa partners wangu kutoa sadaka yenu kila mwezi kuipeleka habari njema kwa watu wa Dodoma... Mungu atawafanikisha sana!
Niombee mimi, Waombee watu waokolewe, na huduma hii iponye na kugeuza maisha ya mamilioni!

Mwl Dickson Cornel Kabigumila
www.yesunibwana.org
Share on Google Plus

About Ambwene Mwamwaja

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.