KANISA LA SABATO LAONYESHA KWA VITENDO

Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Afrika ya Kati cha Kanisa la Waadventista Wa Sabato kilichoko Gishushu,Kigali Rwanda kimezinduliwa rasmi na Kiongozi wa Kanisa la Waadventista Wa Sabato Duniani Dkt Ted Wilson akiwa ameambatana na viongozi mbalimbali wa Kanisa hilo katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati (ECD).

Ted ambaye yuko katika ziara ya kikazi katika ukanda huo aliwasili juzi mjini Kigali akitokea Juba,Sudani ya Kusini huku akitarajiwa kuelekea Uganda kabla ya kurejea Marekani yaliko makao makuu ya kanisa la Waadventista Wa Sabato Duniani.

Ambassadors of Christ a.k.a 'Kwetu Pazuri' wakiimba katika uzinduzi huo.
Dr Ted Wilson akiteta jambo na Dr Blasious Ruguri

Picha na habari kutoka blog ya Mtangazaji MaduhuShare on Google Plus

About Ambwene Mwamwaja

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.