LEO NI BIRTHDAY YA ELIE JOHN THE PHILOSOPHER (TEAM GK DAIMA)Siku zinakimbia haraka sana huyu kijana tulimtakia heri ya kuzaliwa majuzi tu yaani leo tena anaongeza mwaka mwingine katika maisha yake. Tunamtukuza na kumshukuru Mungu pamoja naye kwasababu kila iitwapo leo ameendelea kufanyika baraka katika team hii. Elie wewe ni baraka bro kama team GK tunajiuliza how it would be without you katika hii huduma aisee.

Ni mwaka 2015 tunamwamini Mungu kuna mengi mazuri yapo mlangoni mwako. Mungu wetu aendelee kukujaza baraka za mwilini na Rohoni ili kazi yake ifanyike kwa viwango na watu wakapate kumjua YEYE kupitia maisha yako. Neno la Mungu linasema 'Uwe mwaminifu mpaka kufa nami nitakupa taji ya Uzima' tunathamini sana muda wako na kujitoa kwako tunauhakika mwisho mwema tutaufikia vyema. Happy Birthday Elie John Chansa a.k.a the Philosopher

            By the way hii video haijazeeka eti, Happy birthday kijana kutoka Team GK

Share on Google Plus

About Ambwene Mwamwaja

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.