RAIS KIKWETE ABADILI WAKUU WA WILAYA NA KUHAMISHA WENGINE

Rais Jakaya Kikwete
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, amefanya uteuzi wa wakuu wapya wa wilaya 27, kuwabadilisha vituo vya kazi wakuu wa wilaya 64, na kuwapandishwa vyeo Wakuu wa wilaya 5 kuwa wakuu wa mikoa, na kutengua uteuzi wa wakuu wa wilaya 12.

Akizungumzana Waandishi wa habari mjini Dodoma kuhusiana na mabadiliko hayo, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amesema mabadiliko hayo yamezingatia kuwepo kwa nafasi 27 wazi zilizotokana na sababu mbalimbali ikiwemo kufariki dunia wakuu wa wialaya 3,  kupandishwa vyeo wakuu wa wilaya 5 kuwa wakuu wa mikoa, kupangiwa majukumu mengine wakuu wa wilaya 7 na kutengua uteuzi wa wakuu wa wilaya 12.

Ifuatayo ni taarifa rasmi... Unaweza pia kubofya hapa

<
18 Februari 2015.
Share on Google Plus

About Gospel Kitaa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.