ZIMESALIA SIKU 3 WORSHIP EXPERIENCE NA MEN OF STANDARDS ARUSHA


Zimesalia siku chache macho na masikio ya wadau wa muziki wa injili kuelekezwa Sundown, Kisongo. Wale waishio jijini Arusha, tukio hili si la kukosa, nina hakika kila moja wetu anahesabu tu muda ili apate kufika hapo siku hiyo.

Hapa tunazungumzia Men of Standards, kwenye tukio lao la kwanza tokea M.O.S ianzishwe. Mapema mwezi huu Gospel Kitaa imepita kwenye mazoezi waliyokuwa wanafanya kwa muda sasa, na ilifanikiwa kurekodi wanachofanya, pamoja na kujieleza wao ni kina nani. Hakika sio watu wa kawaida, ile standards wanayaojiita ilidhibitika.

Tunakukumbusha kwa video ifuatayo.

Kama bado hujanunua tiketi yako, fanya hivyo sasa ili upate kuisongesha injili kupitia Jimmy Kimutuo na James Honore kwa shilingi elfu 5 tu, huku watoto wakiingia bure (Ufalme wa Mungu niw ao anyway) tu Kimahama Bookshop, Calvary Temple na Maranatha Christian Centre. Tukutane Sundown tarehe mosi machi bila kukosa.


Share on Google Plus

About Gospel Kitaa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.