CHAGUO LA GK MOJA YA NYIMBO NZURI KUSINDIKIZA KWARESMA


Tukiwa katika mwezi wa kukumbuka mateso ya Mwokozi wa ulimwengu, basi katika chaguo la GK hii leo tumekuchagulia wimbo 'Inasikitisha Sana' kutoka kwaya maarufu ndani na nje ya nchi ya AIC Chang'ombe (CVC), wimbo huu unapatikana katika album yao ya 'Jihadhari na Mpinga Kristo'.

Ni wimbo mzuri wenye tafakuri ya kina namna Kristo alivyopitia njia mbalimbali za mateso ili mimi na wewe tuwe huru hii leo. Tunatumaini utabarikiwa uutazamapo na kusikiliza ujumbe wake. Jumapili njema


Share on Google Plus

About Ambwene Mwamwaja

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.