CHAGUO LA GK NI KUTOKA KWA MTOTO WA RAIS ROBERT MUGABE ZIMBABWE 'FIRE FIRE'Chaguo la GK hii leo ni kutoka kwa mmoja wa waimbaji chipukizi maarufu nchini Zimbabwe aitwaye Wellington Kwenda, kijana ambaye anasifika kwa nyimbo zake za kumsifu Mungu kwakujituma katika suala zima la uchezaji sambamba na vijana wenzake. Kutoka kwa mwimbaji huyu anayetokea jijini Harare tumekuchagulia wimbo 'Fire fire' unaozungumzia nguvu za 'Roho Mtakatifu' zilivyojidhihirisha wakati ule wa Pentecoste basi hata leo bado Roho anatenda kwa nguvu ileile.

Ni matumaini yetu kwamba utabarikiwa sana kupitia wimbo huu ambao unachezeka, lakini pia sauti na muziki wake hauwezi kukaa chini lazima ujiunge kuimba na kucheza na mwimbaji huyu.Share on Google Plus

About Ambwene Mwamwaja

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.