CHAGUO LA GK NI UJUMBE MUHIMU KWAKO ULIYEKATA TAMAA NA KUYUMBISHWAChaguo la leo kutoka GK ni mahususi kwa wewe msomaji wetu ambaye unapitia katika wakati mgumu wa majaribu mbalimbali, kuonewa, kudhulumiwa, kuteswa ama ukiwa unavutwa na watu wengine kutenda mambo ambayo yapo kinyume na mapenzi ya Mungu hali inayokufanya kukuweka katika wakati mgumu.

GK inaungana na mwimbaji wa leo Emmanuel Mgogo anakwambia 'Msikilize Mungu'. Ni wimbo mzuri wakukuweka vyema unapohitaji kuweka uamuzi, lakini pia muziki na sauti zinakurejeshea tabasamu la matumaini usoni. Tunakutakia jumapili njema uutazamapo na kuusikiliza. BarikiwaShare on Google Plus

About Ambwene Mwamwaja

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.