CHAGUO LA GK NI WIMBO KUTOKA KATIKA DVD MPYA YA PAUL CLEMENTChaguo la GK leo ni kutoka kwa kijana ambaye uimbaji wake unabariki wengi, huyu si mwingine bali ni Paul Clement wa kundi la Glorious Worship Team (GWT), lakini hapa amesimama peke yake kama mwimbaji binfasi. Tumekuchagulia wimbo 'Umeniita' kutoka katika DVD yake mpya iitwayo 'Atendaye Ni Mungu" aliyorekodi live mwezi june mwaka jana na kuizindua mapema mwezi uliopita jijini Dar es salaam.

Tunatumaini ya kuwa utabarikiwa na wimbo huu kutoka kwake Paul Clement, tunakutakia jumapili njema yenye baraka.

Share on Google Plus

About Ambwene Mwamwaja

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.