HAPPY MARVELOUS BIRTHDAY TO FRIDA MSAMI

Tafakuri kabla ya kukata keki
Come March, gone March. come 2015, gone 2015. Ni rahisi siku hizi kuona mtu anashangaa muda ulivyokimbia ama siku zinavyoenda. Lakini ni maisha halisi, dunia haijasimama, mambo yanasonga. Ndivyo ilivyo kwa Binti Msami, almaarufu Fridaflavi Joseph Msami, ambaye ametimiza umri wa miaka 2 tarehe mosi mwezi Machi 2015.

Kama wazazi wako walivyo mfano, ndivyo ambavyo tunaomba Mungu akutunze na kukukuza ndani yake maradufu.

Joseph, Adela na Frida.


Ndani ya kivazi cha sherehe, kabla ya mtoko.
'Sitting like a boss'

Una habari kwamba Baba Frida amewahi kuwa Kondakta wa daladala? Kutoka huko sasa ni mfanyakazi wa Umoja wa Mataifa. Bofya hapa kusoma.

Share on Google Plus

About Gospel Kitaa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.