KONGAMANO LA MOYO WA MWANAMKE 2015


Karibu katika kongamano la Moyo wa Mwanamke. Kongamano kubwa la wanawake ambalo hufanyika mara moja kila mwaka, ambapo wanawake wengi wamemwona Mungu kupitia kusanyiko hili.

Kutakuwa na mafundisho na maombezi ya magonjwa sugu yanayowasumbua wanawake.

Semina inaanza Ijumaa Machi 6 hadi Machi 8

Mahala ni Kawe Living Water Centre.

Kuanzia saa 3:00 asubuhi - 12:00 jioni.Mnenaji ni Mwalimu Lilian Ndegi, Mchungaji Debora Kaisi, Mchungaji Naomi Mhamba na wengine!

Karibu sana!
Share on Google Plus

About Gospel Kitaa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.