PICHA 190+ NEW WORSHIP EXPERIENCE NA MEN OF STANDARDS ILIVYOFANA


Jiji la Arusha kwa mara ya kwanza limeshuhudia vijana,  Chief Pianist - Jimmy Kimutuo na Holy Bass - James Honore, ambapo tarehe mosi Machi, wameanza rasmi shughuli ya kueneza injili kupitia uimbaji kwenye ukumbi wa Sundown, Kisongo.

Tukio zima lilianza kwa baraka za Mungu ambapo Elder Tolla'g, Rais wa Voice of Triumphs alipofungua kwa maombi na kisha ratiba ikaendelea na sifa na mapambio, ambapo kundi la Spirit of Praise lilifungua pazia. Mwendesha shughuli wa tukio hilo, John Pazia, alimudu vema ratiba iliyokuwa imesheheni nguli wa kusifu na kuabudu, wakiwemo Voice of Triuphs, Upendo Friends, Angel Benard, na Jessica BM na Bomby Johnson kutoka jijini Dar es Salaam.

GK ambayo iliweka kambi kuanzia 'testing ya vyombo' hata kuagana kwa watu inaweza kusema neno kutokana na tukio hili. Ni tukio la kipekee, "One of a kind".

Tazama picha za matukio kama zilivyojiri, huku ukijiandaa kutazama video za tukio hilo, ambazo bado zinahaririwa. Waandaaji wa shughuli hii ni Doxa Music Management.Spirit of Praise wakaanza na na kulitukuza jina la Mungu


Upendo Friends
Voice of Triumphs
Spirit of Praise (SOP)
V.O.T kwa mara nyingineJessica BM


MC Pilipili


Akapanda Bomby Johnson
Najisikia Salamaa. Bomby ft Angel
Waandaaji wa shughuli, Doxa Music Management wakazungumza...
Mkurugenzi wa Doxa Music Management, Godsave Sakafu

Wenye Shughuli, Men of Standards wakawasiliSuper MC

Tumalize kwa maombi; Mchungaji Phillip David wa T.A.G Calvary Temple akamaliza kwa kuombea familia za wabeba maono.Pazia la picha...
Pazia (kulia) & 'kampani'
Godsave na Pilipili

Angel na Godsave

Bomby, Angel, Pilipili na Godsave

Bomby Johnson na Godsave Sakafu
James, Mchungaji Philip David, Bwana na Bibi Kimutuo
Men of Starndards


Share on Google Plus

About Gospel Kitaa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.