SIKILIZA 'AMETENDA MEMA' YAKE KIJANA MICHAEL SAMILA


Naitwa Michael Samila, from Dodoma mwanafunzi wa Chuo cha Uuguzi Mirembe. Wimbo ufuatao  ni wimbo uliobeba jina la album. Unaitwa Ametenda Mema. Album yangu iko tayari, na wakati wowote itakuwa sokoni.

Nina changamoto ya kutoa video, ila uwezo sina maana bado ni mwanafunzi. Pamoja nayo, ninatafuta mtu wa kusimamia kazi yangu, napatikana kupitia namba 0764381671 au 0654707239.

Sikilza wimbo hapa, ama upakue kwa kubonyeza hapa.Share on Google Plus

About Gospel Kitaa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.