USOMAPO MUNGU AKUPE NEEMA YA KUELEWA KATIKA JINA LA YESUUSOMAPO MUNGU AKUPE NEEMA YA KUELEWA KATIKA JINA LA YESU


Kumbukumbu la Torati 4:15-19
Jihadharini nafsi zenu basi; maana hamkuona umbo la namna yo yote siku ile BWANA aliyosema nanyi kutoka kati ya moto;
msije mkajiharibu nafsi zenu, mkajifanyia sanamu ya kuchonga, mfano wa sura yo yote, mfano wa mwanamume au mwanamke,
mfano wa mnyama ye yote aliye duniani, au mfano wa ndege ye yote arukaye mbinguni,
au mfano wa kitu cho chote kitambaacho juu ya ardhi, au mfano wa samaki ye yote aliye majini chini ya nchi;
tena usije ukainua macho yako hata mbinguni, na ulionapo jua, na mwezi, na nyota, jeshi la mbinguni lote pia, ukashawishwa na kuviabudu, na kuvitumikia, ambavyo BWANA, Mungu wako amewagawanyia watu wote chini ya mbingu zote.
KWA NINI UNAJITUNGIA IBADA?

Ujumbe kutoka kwa mwinjilisti King Sam

Share on Google Plus

About Ambwene Mwamwaja

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.